0%

VIDEO: Rapcha – Drama Freestyle (TwoFiveVibes 6)

Posted By: soundmind On:


Rapcha – Drama Freestyle (TwoFiveVibes 6)

Hii ni freestyle ya Rapcha inayoelezea maisha ya mahusiano yalivyo kwa watu tofauti na wa rika tofauti. Inafurahisha na kukuonesha kwamba katika hali yeyote unayopitia katika mahusiano yako ni wengi wanapitia wakati kama huo iwe ni furaha au majonzi. hivyo, mwisho wa Siku kikubwa wote tuishi kwa furaha ya kweli maana haijalishi unapitia nini maisha lazima yaendelee tu! Enjoy the gift of life! Song Written and performed by RAPCHA Audio produced by SCARDEE Video Shot by FOLE X

 


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Play Cover Track Title
Track Authors
× WhatsApp Us